~ ~ african women hijab styles 2017 ~ ~

Wanaovaa hijab ni wengi ila hawa ni wachache tulowafikia na kama uko fresh kuwa feaatured humu kwenye fashion Tanzania then post zako insta hijab style yako then #fashiontanzania Insha Allah na sie tutakufeature humu.