Kitenge/Leso/Khanga dresses designs For 2017

Onesho la khanga za kale lililoandaliwa na Fabak Fashion lavutia sana, Asyia Idarous designer mkongwe afichua vipaji vilivyojificha, jukwaani ni designer Bahiya Lumelezi akiwaonesha design zake na Siza!! kuona red carpet ingia ndani!!