Ungana nami katika page hii kuona mishono aina mbalimbali ya wamama, wadada wa kileo, watoto na hata wanaume walioshona vitenge kutoka kwa Myner’s Vitenge Collections na designers wengine mbalimbali, Hati Miliki Zote kwa wenye picha.
Tag Archives: ya
Kitenge na lace ya vitenge : # 2016 / 2017
usiumize kichwa kutafuta mishono,angalia design nzuri za mishono ya vitenge iliyochanganywa na lace…
Mishono Ya Kitchen Party 2017 #: Styles
maharusi wengi hupenda kuvaa kitamaduni au kufunga malemba kwenye sherehe za kitchen party, angalia mishono hii na uchague inyoendana na mwili wako…
Mishono Ya Vitenge # 2017 : Classy
mishono ya suruali za vitenge.. Jinsi ya kuvaa blouse ya kitenge na… Kitenge na lace. Simple but beautiful kitenge style. Best kitenge
Continue reading Mishono Ya Vitenge # 2017 : Classy
outfit mishono ya vitenge must see
Mishono ambayo imevaliwa kwa wiki kama mbili tatu hivi toka kwa instagram yake.